Saturday, January 17, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Instagram
TNC
  • Home
  • Home
No Result
View All Result
TNC
No Result
View All Result

Mkuu wa Mkoa asherehekea Krismasi na watoto wenye uhitaji

by TNC
December 25, 2025
in Swahili
0
0
SHARES
2
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Atoa Wito wa Kusaidia Watoto Wenye Uhitaji

Shinyanga – Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita amewataka ndugu wa watoto wenye uhitaji kujiongeza pale wanapoona watoto hao wanapungukiwa kwa sababu kuna baadhi yao wanatelekezwa na wazazi na kuishi katika mazingira magumu.

Akizungumza Desemba 25, 2025 katika hafla fupi ya kusherehekea Sikukuu ya Krismasi na watoto hao, Mhita amesema kuwa viongozi wanatakiwa kuziba sehemu ambayo inapengo kwa watoto hao.

"Leo wakati kila mmoja wetu yuko na wanae pamoja na wapendwa wake, na sisi tumeamua kujiongeza kwa hawa watoto kujumuika kwa pamoja na kusherekea siku hii na kuleta tabasamu kwao," amesema Mhita.

Pia ameongeza kuwa, "Sikatai kuwa muda familia zinatengana kwa sababu fulani lakini baba zetu muwe na tabia ya kuonyesha ile nafasi ya baba kwa watoto hata mkitengana, baadhi yenu mkigeuka, mmegeuka hamrudi."

Aidha, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi amesisitiza kuwa, "Kila mmoja katika jamii awe mlinzi wa mtoto wa mwenzie katika kuwalinda na vitendo vya ukatili tupaze sauti mapema ili wasaidiwe haraka," amesema Magomi.

Tags: asherehekeaKrismasiMkoaMkuuuhitajiWatotowenye
TNC

TNC

Next Post

Mtoto afariki kwa kuzama kwenye shimo la maji, wengine wajeruhiwa

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Popular News

  • Zanzibar’s Leadership Advocates for Streamlined Tax System to Enhance Economic Growth

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Wanaohujumu miundombinu watachukuliwa hatua kali

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Wanaohujumu miundombinu watachukuliwa hatua kali

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Wasiwasi juu ya Uchochezi wa Makada katika Jimbo la Katavi

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Wanawake Wanaonyonyesha Washauriwa Kula Milo Mitano Siku

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Category

  • English
  • Swahili

Socials

Instagram TikTok YouTube Facebook

About Us

TNC (Tanzania News Company) is the primary Source of News in English & Swahili in Tanzania

© 2025 TNC - Tanzania News Company

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home

© 2025 TNC - Tanzania News Company