Thursday, January 15, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Instagram
TNC
  • Home
  • Home
No Result
View All Result
TNC
No Result
View All Result

Helkopta yaanguka mlimani, watano wafariki

by TNC
December 24, 2025
in Swahili
0
0
SHARES
2
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Ajali ya Helikopta Katika Mlima Kilimanjaro Yaua Watu Watano

Moshi – Helikopta ya kampuni ya uokoaji ya KiliMediar Aviation imepata ajali maeneo ya kati ya Kibo na Barafu Camp katika Mlima Kilimanjaro na kusababisha vifo vya watu watano.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo leo Desemba 24, saa 11:30 wakati helikopta hiyo ilikuwa inatoka kuchukua wagonjwa wa kampuni ya utalii BobyCamping.

"Ni kweli kuna ajali ya helikopta ya kampuni ya uokoaji ya KiliMediar na waliofariki ni wageni wawili, muongoza watalii mmoja, rubani na daktari. Taarifa zaidi zitapatikana kesho asubuhi," amesema Kamanda Maigwa.

Taarifa kutoka eneo la tukio ambazo bado hazijathibitishwa zinaeleza kuwa baada ya helikopta hiyo kuanguka, ililipuka moto na kusambaratika huku jitihada za uokoaji zikifanyika.

Eneo la Kibo Hut na Barafu Camp liko kwenye urefu wa kati ya mita 4,670 na mita 4,700 kutoka usawa wa bahari.

Endelea kufuatilia TNC kwa taarifa zaidi…

Tags: HelkoptaMlimaniWafarikiWatanoyaanguka
TNC

TNC

Next Post

Watanzania hawashabikii haki, siyo wadau wa haki - Askofu Ruwa'ichi

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Popular News

  • Zanzibar’s Leadership Advocates for Streamlined Tax System to Enhance Economic Growth

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Wanaohujumu miundombinu watachukuliwa hatua kali

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Wanaohujumu miundombinu watachukuliwa hatua kali

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Wasiwasi juu ya Uchochezi wa Makada katika Jimbo la Katavi

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Wanawake Wanaonyonyesha Washauriwa Kula Milo Mitano Siku

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Category

  • English
  • Swahili

Socials

Instagram TikTok YouTube Facebook

About Us

TNC (Tanzania News Company) is the primary Source of News in English & Swahili in Tanzania

© 2025 TNC - Tanzania News Company

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home

© 2025 TNC - Tanzania News Company