Ukaguzi wa Daladala Unaathiri Usafiri Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam
Dar es Salaam – Ukaguzi wa kina unaofanywa na Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani umesababisha usumbufu mkubwa wa usafiri katika maeneo ya Chanika, Kigogo na Kisarawe leo Jumatano, Machi 19, 2025.
Ukaguzi ulifanyika katika kituo cha Shule ya Msingi Pugu Kajiungeni, ambapo zaidi ya daladala 20 zalisimamishwa na trafiki zaidi ya 15 wakizich