Mkutano Mzito White House: Trump na Zelensky Wapingana kuhusu Vita vya Ukraine
Washington – Mazungumzo ya dharau na mvutano wa hisia yalizuka wakati Rais Donald Trump wa Marekani na Rais Volorymyr Zelensky wa Ukraine walikutana White House kuhusu mzozo wa vita vya Ukraine na Russia.
Mkutano ulilenga kushughulikia maudhui muhimu ya ushirikiano, lakini ukageuka kuwa mazungumzo ya mtizamo tofauti kabisa. Trump alishikilia msimamo kuwa Zelensky a